BBC Swahili |
Seneta amnyonyesha mwanawe bungeni Australia
BBC Swahili Wazo hilo ni swala tata katika mabunge mengi duniani. Mnamo mwaka 2016, mbunge wa Uhispania Carolina Bescansa kutoka chama cha Podemos alikosolewa na kupongezwa wakati huohuo kwa kumpeleka mwanawe bungeni na kumnyonyesha. |